Kafara ya miezi miwili mfululizo kuifunga siku moja

Swali: Akifa ambaye anadaiwa funga ya miezi miwili mfululizo ni sahihi akafungiwa na watu sitini katika siku moja?

Jibu: Haisihi. Kwa sababu kwa njia hiyo hakufikiwi ile sharti; ambayo ni ule mfululizo.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kanz-uth-Thamiyn, uk. 89
  • Imechapishwa: 29/08/2020