Swali: Kupenda sifa na matapo kwa watu ni jambo lenye kusemwa vibaya kwa hali yoyote?
Jibu: Ndio, ni jambo lenye kusemwa vibaya kwa hali yoyote. Mtu asipende kusifiwa na kutapwa. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza kumsifu mtu mbele yake:
“Mkiwaona wenye kusifu watupieni kwenye nyuso zao mchanga.”
Kwa sababu jambo hili linapelekea kujikweza na kujiona. Mtu anatakiwa kujiona kuwa ni mwenye mapungufu na ajione kuwa yuko duni kuliko wengine. Asijinyanyue.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (72) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-10-14.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Kupenda sifa na matapo kwa watu ni jambo lenye kusemwa vibaya kwa hali yoyote?
Jibu: Ndio, ni jambo lenye kusemwa vibaya kwa hali yoyote. Mtu asipende kusifiwa na kutapwa. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza kumsifu mtu mbele yake:
“Mkiwaona wenye kusifu watupieni kwenye nyuso zao mchanga.”
Kwa sababu jambo hili linapelekea kujikweza na kujiona. Mtu anatakiwa kujiona kuwa ni mwenye mapungufu na ajione kuwa yuko duni kuliko wengine. Asijinyanyue.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (72) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-10-14.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/jione-daima-uko-duni-kuliko-wengine-wote/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)