Swali: Tulisoma kwenye darsa ya Tawhiyd leo ya kwamba yule asiyeridhia anapoapiwa kwa jina la Allaah anakuwa sio mwenye kumuadhimisha Allaah. Je, inaingia katika hilo nikiapiwa na mtu na mimi najua kuwa ni muongo na hivyo nikawa sikukinaika wala kuridhia wala kukubali kiapo chake?
Jibu: Hichi ni kiapo cha uongo usikiridhie. Tunachomaanisha ni pale unapokuwa hujui. Katika hali hii mdhanie vyema [mwapaji]. Ikiwa hujui kuwa anasema uongo mdhanie vizuri na umuadhimishe Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Ama ukijua kuwa ni mwongo, hiki sio kiapo. Huu ni uongo.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (52) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-10-18.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Tulisoma kwenye darsa ya Tawhiyd leo ya kwamba yule asiyeridhia anapoapiwa kwa jina la Allaah anakuwa sio mwenye kumuadhimisha Allaah. Je, inaingia katika hilo nikiapiwa na mtu na mimi najua kuwa ni muongo na hivyo nikawa sikukinaika wala kuridhia wala kukubali kiapo chake?
Jibu: Hichi ni kiapo cha uongo usikiridhie. Tunachomaanisha ni pale unapokuwa hujui. Katika hali hii mdhanie vyema [mwapaji]. Ikiwa hujui kuwa anasema uongo mdhanie vizuri na umuadhimishe Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Ama ukijua kuwa ni mwongo, hiki sio kiapo. Huu ni uongo.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (52) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-10-18.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/jinsi-ya-kutangamana-na-mwenye-kuapa-kwa-kusema-uongo/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)