Je, mtu anapaswa kuirudi swalah aliyoswali karibu na kaburi?

Swali: Je, mtu hatakiwi kurudi swalah yake akiswali kwenye kaburi?

Jibu: Sahihi ni kwamba inarudiwa, kwa sababu si mahala aliposwalia. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza na kuonya juu ya hili. Msingi wa katazo ni kubatilika.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/27421/هل-يعيد-الصلاة-من-صلى-في-القبر
  • Imechapishwa: 10/04/2025