Je, kuna asli yoyote ya kurusha udongo mara tatu upande wa kichwa cha maiti?

Swali: Je, kuna asli yoyote ya kurusha udongo mara tatu upande wa kichwa cha maiti?

Jibu: Ndio, kitendo hichi kina asli. Imepokelewa namna udongo ulivyorushwa mara tatu upande wa kichwa cha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)[1].

[1] Ibn Maajah (1565) na ad-Daaraqutwniy (2/76)

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/184)
  • Imechapishwa: 01/09/2021