Swali: Je, amri ya kusimama usiku kuswali ni maalum kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) peke yake?

Jibu: Inapendeza kwa ummah:

وَالَّذِينَ يَبِيتُونَ لِرَبِّهِمْ سُجَّدًا وَقِيَامًا

“Na wale wanaokesha usiku kwa ajili ya Mola wao hali ya kusujudu na kusimama.”[1]

كَانُوا قَلِيلًا مِّنَ اللَّيْلِ مَا يَهْجَعُونَ وَبِالْأَسْحَارِ هُمْ يَسْتَغْفِرُونَ

“Walikuwa wakilala kidogo tu usiku na kabla ya alfajiri wakiomba msamaha.”[2]

[1] 25:64

[2] 51:17-18

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21463/هل-الامر-بقيام-الليل-خاص-بالرسول-ﷺ
  • Imechapishwa: 11/04/2023