Swali: Je, mume akimbusu mke wake uso anapata dhambi?
Jibu: Jibu ni kuwa hapati dhambi, mlango uliopo baina ya mume na mke ni mpana.
- Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Waswaabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.olamayemen.net/Default_ar.aspx?ID=5194
- Imechapishwa: 22/09/2020
Swali: Je, mume akimbusu mke wake uso anapata dhambi?
Jibu: Jibu ni kuwa hapati dhambi, mlango uliopo baina ya mume na mke ni mpana.
Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Waswaabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.olamayemen.net/Default_ar.aspx?ID=5194
Imechapishwa: 22/09/2020
https://firqatunnajia.com/inajuzu-mume-kumbusu-mke-wake-usoni/