Ni lazima kumwambia anayekuja kuniposa maradhi niliokuwa nayo?

Swali: Je, ni lazima kumwambia anaekuja kuniposa maradhi yalionishika siku zilizopita na kwa sasa nimekwishapona?

Jibu: Si wajibu ikiwa maradhi yaliondoka si lazima.

Check Also

Mwanamke hana Adhaana wala Iqaamah

Swali: Ikiwa ataadhini mwanamke nyumbani kwake, au mwalimu mwanamke madrasani kwake… Jibu: Hakuna adhaana kwa mwanamke. …