Inajuzu mume kumbusu mke wake usoni?

Swali: Je, mume akimbusu mke wake uso anapata dhambi?

Jibu: Jibu ni kuwa hapati dhambi, mlango uliopo baina ya mume na mke ni mpana.

Check Also

Peleka mahakamani

Swali: Mimi nina dada anayegombana na mume wake mwenye madhehebu na mfumo wa Suufiyyah. Anampiga, …