Swali: Muislamu ambaye ana majirani ambao ni manaswara. Je, inajuzu kwa muislamu pindi anapogonjweka mnaswara akamtembelea na anapokufa akalifuata jeneza lake? Muislamu mwenye kufanya hivo anapata dhambi?
Jibu: Haifai akafuata jeneza lake. Kuhusu kumtembelea hakuna ubaya. Huenda katika kufanya hivo kukawa kuna manufaa ndani yake kukamlainisha juu ya Uislamu. Akifa hali ya kuwa ni kafiri basi Moto umemuwajibikia. Kwa ajili hiyo haifai kumuombea.
- Muhusika: Shaykh-ul-Islâm Ahmad bin Taymiyyah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (24/339)
- Imechapishwa: 09/05/2019
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)