Swali: Ni ipi hukumu ya kusikia kisomo cha mwanamke kilichorekodiwa?
Jibu: Inajuzu kwa wanawake tu kusikiliza. Inajuzu vilevile kwa wanaume ikiwa hilo halitopelekea katika fitina.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (4/126)
- Imechapishwa: 22/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)