Swali: Ni ipi hukumu ya kuomba du´aa dhidi ya kiongozi asiyehukumu kwa yale aliyoteremsha Allaah?
Jibu: Muombee du´aa ya uongofu, mafanikio na Allaah ajaalie kupitia mikono yake kuwarekebisha wananchi wake na awahukumu kwa Shari´ah ya Allaah.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/547)
- Imechapishwa: 24/08/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kuomba du´aa dhidi ya kiongozi asiyehukumu kwa yale aliyoteremsha Allaah?
Jibu: Muombee du´aa ya uongofu, mafanikio na Allaah ajaalie kupitia mikono yake kuwarekebisha wananchi wake na awahukumu kwa Shari´ah ya Allaah.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/547)
Imechapishwa: 24/08/2020
https://firqatunnajia.com/inafaa-kuomba-duaa-dhidi-ya-kiongozi-asiyehukumu-kwa-shariah/