Inafaa kuomba du´aa dhidi ya kiongozi asiyehukumu kwa Shari´ah?

Swali: Ni ipi hukumu ya kuomba du´aa dhidi ya kiongozi asiyehukumu kwa yale aliyoteremsha Allaah?

Jibu: Muombee du´aa ya uongofu, mafanikio na Allaah ajaalie kupitia mikono yake kuwarekebisha wananchi wake na awahukumu kwa Shari´ah ya Allaah.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/547)
  • Imechapishwa: 24/08/2020