Inafaa kumwita mtoto jina la ´Abdul-Mawjuud

Swali: Inafaa kwa mtu kuitwa jina la ´Abdul-Mawjuud (mja wa aliyepo)?

Jibu: Hapana. Mawjuud si katika majina ya Allaah. Yeye (Subhaanah) yupo. Lakini si katika majina ya Allaah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 19
  • Imechapishwa: 24/02/2019