Swali: Ni wajibu kwa mwanamke kufunika kisigino chake wakati anaposujudu katika swalah?
Jibu: Ndio, ndani ya swalah yote. Anatakiwa kujisitiri. Mwili mzima wa mwanamke ni ´Awrah katika swalah. Isipokuwa tu uso wake ikiwa mbele yake hakuna wanaume ambao si Mahram zake. Ikiwa anaswali mbele ya wanaume ambao sio Mahram zake anatakiwa kufunika uso wake pia.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdatul%20Fiqh%20-%2018%20-%201-%20-1436.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Ni wajibu kwa mwanamke kufunika kisigino chake wakati anaposujudu katika swalah?
Jibu: Ndio, ndani ya swalah yote. Anatakiwa kujisitiri. Mwili mzima wa mwanamke ni ´Awrah katika swalah. Isipokuwa tu uso wake ikiwa mbele yake hakuna wanaume ambao si Mahram zake. Ikiwa anaswali mbele ya wanaume ambao sio Mahram zake anatakiwa kufunika uso wake pia.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdatul%20Fiqh%20-%2018%20-%201-%20-1436.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/inafaa-kisigino-cha-mwanamke-kuonekana-anaposujudu/