Imamu anakusudia kusoma al-Faatihah tu

Swali: Vipi imamu kukusudia kusoma al-Faatihah peke yake kwa makusudi?

Jibu: Hapana vibaya. Kilicho cha wajibu kwa mujibu wa wanazuoni ni al-Faatihah peke yake. Swalah inasihi akisoma yenyewe peke yake. Hata hivyo ameacha Sunnah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24838/حكم-اقتصار-الامام-على-الفاتحة
  • Imechapishwa: 20/12/2024