Watu wa Peponi watamuona Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Watautazama uso wa Allaah kwa macho yao kama wanavouona mwezi mwandamo bila ya kuwepo mawingu na kama wanavouona mwezi katika usiku wa mwezi mwandamo. Kwa msemo mwingine watamuona kikweli.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (01/45)
- Imechapishwa: 23/01/2023