Ibn ´Uthaymiyn kuhusu Imamu kuleta Tasliym mbili

Swali: Ni ipi hukumu imamu akitoa Tasliym mbili katika swalah ya jeneza?

Jibu: Hakuna neno kufanya hivo kwa kuwa imepokelewa kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayahi wa sallam).

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/130)
  • Imechapishwa: 15/09/2021