Swali: ´Aqiydah inathibitishwa kwa Hadiyth ya mpokezi mmoja (Hadiyt-ul-Aahaad)?
Jibu: Ndio. ´Aqiydah na hukumu zinathibitishwa kwa Hadiyth ya mpokezi mmoja iliosimama kwa isnadi iliosalimika.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=14489
- Imechapishwa: 05/05/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)