Ibn Baaz kuhusu wanawake kuwasalimia wanaume na kinyume chake

Swali: Vipi mwanamke kuwasalimia wanaume?

Jibu: Ndio, kama ambavo inafaa pia kwa wanaume kuwasalimia wanawake ikiwa hakuna mashaka. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliwasalimia wanawake nao wakamsalimia. Vilevile wanawake wa kike waliwasalimia Maswahabah wa kiume.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23942/ما-حكم-سلام-المراة-على-الرجال
  • Imechapishwa: 02/08/2024