Ibn Baaz kuhusu kutoa Zakaat-ul-Fitwr na kuituma nje ya nchi II

Swali: Je, inafaa kutoa Zakaat-ul-Fitwr katika nchi nyingine ambayo hatuishi ndani yake?

Jibu: Bora ni mtu atoe Zakaat-ul-Fitwr katika nchi ambayo mtu anaishi. Hata hivyo hapana vibaya haja ikipelekea kuiagiza [nje ya nchi].

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/4426/ما-حكم-اخراج-زكاة-الفطر-الى-بلد-اخر
  • Imechapishwa: 17/06/2022