Swali: Vipi mtu atawaraddi ´Ashaa´irah ambao wamefasiri neno “kulingana kwa Allaah” ya kwamba ni kutawala?
Jibu: Kutawala inakuwa kwa kiumbe kama mfano wa wafanyavyo wafalme. Ama Allaah Yeye Yuko juu ya viumbe Vyake vyote na ndiye Mfalme wa kila kitu (Subhaanahu wa Ta´ala). Hii ni kasora [kwa Allaah]. Ni uzushi na uongo na kufuru na tunaomba msaada kwa Allaah.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah (02)
- Imechapishwa: 09/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)