Swali: Kusema kwamba Allaah ametulia (استقر) katika ´Arshi ni neno limethibiti?

Jibu: Ndio, kuna salaf waliosema hivo. Ni sawa. Mtu anaweza kusema:

1 – Kulingana (اسْتَوَى),

2 – Kutulia na kuthibiti (استقر),

3 – Kuwa juu (ارتفع), na

4 – Kuwa juu (صعد).

Matamshi yote haya yamethibiti kutoka kwa Salaf.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah (02)
  • Imechapishwa: 09/08/2020