Swali: Je, pote la Ibaadhiyyah linazingatiwa ni katika mapote potevu? Je, inajuzu kuswali nyuma yao?
Jibu: Pote la Ibaadhiyyah ni miongoni mwa mapote potevu kutokana na uadui, mashambulizi na uasi kwa ´Uthmaan bin ´Affaan na ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anhum). Haijuzu kuswali nyuma yao.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (2/260-261)
- Imechapishwa: 23/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)