Kwanini asikufurishwe anayesema kuwa Jibriyl alileta Wahy kimakosa?

Swali: Mnawahukumu vipi Shiy´ah na khaswa wale wenye kusema kuwa ´Aliy yuko katika ngazi ya utume na kwamba Jibriyl alikosea kwa kuteremka kwake kwa Muhammad?

Jibu: Shiy´ah ni mapote mengi. Wale miongoni mwao wenye kusema kuwa ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anh) yuko katika ngazi ya utume na kwamba Jibriyl (´alayhis-Salaam) alikosea kwa kuteremka kwake kwa Mtume wetu Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni makafiri.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (266/02)
  • Imechapishwa: 23/08/2020