Swali: Je, pote la Ibaadhiyyah linazingatiwa ni katika mapote potevu? Je, inajuzu kuswali nyuma yao?

Jibu: Pote la Ibaadhiyyah ni miongoni mwa mapote potevu kutokana na uadui, mashambulizi na uasi kwa ´Uthmaan bin ´Affaan na ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anhum). Haijuzu kuswali nyuma yao.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (2/260-261)
  • Imechapishwa: 23/08/2020