Swali: Ni yapi maoni yako kwa mwenye kusema ´tukiafikiana kwenye msingi wa dini – yaani Tawhiyd – tupeane udhuru kwa mambo mengine yote ya dini`?
Jibu: Hapana hawasemi hivi. Wanasema ´tuwe na umoja kwa yale tunayoafikiana` na hawasemi msingi wa dini wala Tawhiyd. Wanasema ´tuwe na umoja kwa yale tunayoafikiana na tupeane udhuru kwa yale tunayotofautiana`. Husema hivi. Ama msingi wa dini na Tawhiyd hawasemi hivi kamwe. Wanasema kuwa mambo haya yanawatofautisha watu. Wanasema kuwa Tawhiyd inawatofautisha watu. Msitake Tawhiyd kutoka kwa watu au mkawaamrisha Tawhiyd na kuacha yale waliyomo kwa kuwa mambo haya yanawatofautisha watu. Hivi ndivyo wanavyosema.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (22) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-3-7.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Swali: Ni yapi maoni yako kwa mwenye kusema ´tukiafikiana kwenye msingi wa dini – yaani Tawhiyd – tupeane udhuru kwa mambo mengine yote ya dini`?
Jibu: Hapana hawasemi hivi. Wanasema ´tuwe na umoja kwa yale tunayoafikiana` na hawasemi msingi wa dini wala Tawhiyd. Wanasema ´tuwe na umoja kwa yale tunayoafikiana na tupeane udhuru kwa yale tunayotofautiana`. Husema hivi. Ama msingi wa dini na Tawhiyd hawasemi hivi kamwe. Wanasema kuwa mambo haya yanawatofautisha watu. Wanasema kuwa Tawhiyd inawatofautisha watu. Msitake Tawhiyd kutoka kwa watu au mkawaamrisha Tawhiyd na kuacha yale waliyomo kwa kuwa mambo haya yanawatofautisha watu. Hivi ndivyo wanavyosema.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (22) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-3-7.mp3
Imechapishwa: 19/08/2020
https://firqatunnajia.com/hizbiyyuun-ndio-husema-tawhiyd-inawatenganisha-watu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)