Swali: Ni kina nani ´Alawiyyuun? Je, ni katika pote la Baatwiniyyah?

Jibu: ´Alawiyyuun ni kundi katika Shiy´ah. Husemwa hivi pia kuambiwa wale ambao wanaonelea ´Aliy kuwa ni mungu. Wanasema kuwa ´Aliy ndio Allaah au mungu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (22) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-3-7.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020