Swali: Hijaab inakuwa kwa kufunika uso au inakuwa kwa kuacha uso wazi?

Jibu: Hijaab ya kuacha uso wazi? Hijaab ni mwanamke kujisitiri mwili wake wote; uso, vitanga vya mikono na miguu yake mbele za wanaume. Hii ndio Hijaab. Ama akiufunika mwili wake na akaacha wazi uso wake, hii ni Hijaab pungufu. Kuacha uso wake ni haramu. Hili ni jambo la haramu na haijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Buluugh al-Maraam (36) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/blug–1431-08-15.mp3
  • Imechapishwa: 21/04/2015