Swali: Ni kitabu kipi chenye kunufaisha unachopendekeza kuwasomea familia nyumbani?

Jibu: Lililo bora zaidi ni kuwasomea Riyaadh-us-Swaalihiyn. Hichi ni kitabu bora kutoka katika maneno ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na kimewekwa milango maalum.

Kama tulivyosema hapo mwanzo, wafundishe hukumu za swalah na hukumu za wudhuu´ ili wazijue.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Buluugh al-Maraam (36) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/blug–1431-08-15.mp3
  • Imechapishwa: 21/04/2015