Swali: Je, unapendelea mwanafunzi anayeanza kusoma vitabu vya Ruduud na mijadala ili aweze kupambanua baina ya haki na batili? Unamnasihi nini?
Jibu: Ninachomnasihi aanze kwanza kwa kujifunza na asome kwa wanachuoni. Ima aende kwenye masomo rasmi na kusoma selebasi ya shuleni au kwa kukaa na wanachuoni. Asijishughulishe na Ruduud na mijadala kabla hajajifunza.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (30) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2025-12-1435.mp3
- Imechapishwa: 16/06/2015
Swali: Je, unapendelea mwanafunzi anayeanza kusoma vitabu vya Ruduud na mijadala ili aweze kupambanua baina ya haki na batili? Unamnasihi nini?
Jibu: Ninachomnasihi aanze kwanza kwa kujifunza na asome kwa wanachuoni. Ima aende kwenye masomo rasmi na kusoma selebasi ya shuleni au kwa kukaa na wanachuoni. Asijishughulishe na Ruduud na mijadala kabla hajajifunza.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (30) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2025-12-1435.mp3
Imechapishwa: 16/06/2015
https://firqatunnajia.com/hapa-ndipo-mwanafunzi-anaweza-kujishughulisha-na-vitabu-vya-ruduud/