Swali: Ni vipi mtu ataweza kujitenga mbali na mitego ya mapote haya? Wanawatia wajinga mchanga wa machoni na wote wanadai kuwa wako katika mfumo wa Ahl-us-Sunnah.

Jibu: Uokozi ni elimu tu yenye manufaa. Soma elimu yenye manufaa kwa wanachuoni. Baada ya hapo mtu ataweza kuona yaliyo sahihi na yasiyokuwa sahihi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (30) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2025-12-1435.mp3
  • Imechapishwa: 16/06/2015