Hakuna wakati uliokatazwa kuswali kabla ya swalah ya ijumaa

Swali: Miongoni mwa sifa za kipekee za ijumaa ni kwamba haina wakati wa makatazo ya kuswali?

Jibu: Ndio. Kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Yeyote atakayeoga kisha akaja ijumaa na akaswali kile alichoandikiwa… ”[1]

Inafahamisha kuwa kipindi chote hichi ni wakati wa kuswali.

[1] Muslim (1418) na tamko lake na at-Tirmidhiy (458).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23801/هل-يوجد-وقت-نهي-قبل-صلاة-الجمعة
  • Imechapishwa: 02/05/2024