Swali: Je, mtu aendelee kuswali mpaka atakapoingia Khatwiyb…

Jibu: Inafaa kwake kuswali swalah mia au elfu mpaka atakapoingia Khatwiyb. Ni wakati wa kuswali mpaka atakapoingia Khatwiyb. Hakuna makatazo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23799/متى-ينتهي-وقت-التطوع-قبل-خطبة-الجمعة
  • Imechapishwa: 02/05/2024