Khatwiyb kuja mapema siku ya ijumaa ili aswali na asome Qur-aan

Swali: Je, inafaa kwa Khatwiyb kwenda mapema ili aswali na kusoma Qur-aan?

Jibu: Bora afanye hivo nyumbani kwake. Kama ambavo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akifanya. Mtume alikuja anakuja wakati wa Khutbah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23802/حكم-تبكير-الخطيب-للمسجد-يوم-الجمعة
  • Imechapishwa: 02/05/2024