Hakuna mwenye haki ya kuhukumu kwa desturi za makabila

Swali: Kuna makabila ambayo yanaachwa wahukumiwe na mahakimu kwa mila za makabila. Ni ipi hukumu ya nasaha hizi na kurejea kwao?

Jibu: Katika mji huu kuna mahakama katika kila mji au kitongoji. Kwa ajili hiyo hakuna haja ya watu hawa. Aende mahakamani. Haijuzu kuwaacha watu hawa wakawahukumu wengine kwa mila hizi za kikabila. Haijuzu. Wasikubaliane nao kwa mambo kama haya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (30) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2025-12-1435.mp3
  • Imechapishwa: 16/06/2015