Swali: Katika mji wetu misikiti mingi iko na makaburi. Tunawatahadharisha watu juu ya minbari kwenda kwenye misikiti hiyo na kuswali ndani yake. Tunafanya sawa?
Jibu: Huu ndio wajibu wenu kuwabainishia watu kwamba hichi ni kitendo cha haramu, hakijuzu, ni njia inayopelekea katika shirki na kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amemlaani mwenye kufanya hivo. Wabainishieni watu hili. Kuna juu yako isipokuwa kufikisha.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (43) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2019%20-%201%20-%201437.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)