Swali: Je, kumethibiti fadhila za ´ibaadah katika mwezi wa Rajab?
Jibu: Hapana, hakukuthibiti katika mwezi wa Rajab kukhusisha kufanya ´ibaadah yoyote. Rajab ni kama miezi mingine. Hakukuthibiti kukhusisha kufanya ´ibaadah katika Rajab. Kwa sababu Rajab ni kama miezi mingine.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus al-Masjid al-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13980
- Imechapishwa: 04/04/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related
Kufanya ´ibaadah maalum mbalimbali katika Rajab
Swali: Hakika Bid´ah zinakuwa nyingi katika mwezi wa Rajab. Je, una chochote cha kuwaambia wale wanaoelezea Bid´ah na ´ibaadah mbalimbali katika mwezi huu? Jibu: Mwezi wa Rajab hauna Sunnah. Lakini hata hivyo hakuna ubaya kufanya ´Umrah ndani yake. as-Salaf as-Swaalih walikuwa wakifanya ´Umrah katika Rajab. Vilevile imethibiti kutoka kwa Ibn…
In "Hajj na ´Umrah"
Ni Sunnah kufanya ´Umrah Rajab?
Swali: Kufanya ´Umrah Rajab ni Sunnah? Jibu: Haikuthibiti dalili sahihi ya kwamba Rajab kunafanywa ´ibaadah maalum sawa ´Umrah na nyenginezo. Hakukuthibiti Hadiyth yoyote Swahiyh. Rajab ni kama miezi mingine yote.
In "´Umrah"
Kukhusisha matendo maalum Rajab ni jambo halina msingi
Swali: Kuna masiku kunafungwa swawm ya kujitolea katika mwezi wa Rajab. Je, masiku hayo yanakuwa siku za mwanzo, katikati au mwishoni? Jibu: Hakukuthibiti Hadiyth maalum juu ya fadhila ya swawm ya Rajab mbali na yale aliyopokea an-Nasaa´iy, Abu Daawuud na Ibn Khuzaymah akaisahihisha kupitia Hadiyth ya Usaamah aliyesema: “Nilimuuliza: “Ee Mtume…
In "Swawm katika Rajab"