Haijuzu kutoka kwenda kupigana Jihaad pasina idhini ya mtawala

Swali: Je, inajuzu kupigana Jihaad pasina idhini ya mtawala? Ni ipi nasaha yako kwa vijana.

Jibu: Yule ambaye Allaah Amemtunukia mtawala Muislamu anayehukumu kwa Shari´ah na kuwaongoza, basi ni wajibu kumtii. Wasitoke kwenda kupigana katika nchi yoyote isipokuwa mpaka awape idhini. Hakika yeye anajua manufaa yao zaidi kuliko wao. Hili ni kosa na ni khatari kwa mtu kutoka na kwenda peke yake na kwa kujificha pasina idhini ya mtawala wake.

  • Mhusika: ´Allaamah Zayd bin Muhammad al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=27686
  • Imechapishwa: 11/04/2015