Swali: Je, kitendo cha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kumkubalia ´Aaishah na kumsikilizisha wasichana wawili ambao walikuwa wanapiga dufu kunachukuliwa kufaa kwa wanamme kusikiliza dufu katika masiku ya ´iyd?

Jibu: Hapana. Hayo ni mambo maalum kwa wasichana na wanawake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (22)
  • Imechapishwa: 26/09/2021