Kusoma kwa sauti ya juu wakati wa kukidhi swalah ya ´iyd

Swali: Inaponipita swalah ya ´iyd pamoja na imamu basi naiswali mkusanyiko nyumbani pamoja na ndugu zangu. Je, niswali kwa sauti ya juu au kimyakimya?

Jibu: Iswali kwa sauti juu kwa mujibu wa sifa yake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (22)
  • Imechapishwa: 26/09/2021