Swali: Baadhi ya watu husimika fimbo kwenye makaburi ya wazazi wao ili waweze kuyapambanua na makaburi mengine. Je, inafaa?
Jibu: Hakuna neno. Inafaa akaweka bakora au jiwe. Hapana vibaya. Hata hivyo asiandike juu yake au akalipaka rangi. Haijuzu kufanya hivo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg–14041434.mp3
- Imechapishwa: 03/04/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket