Hutosheki na kope ambazo Allaah amekuumba nazo?

Swali: Ni ipi hukumu ya kuvaa kope za bandia?

Jibu: Haijuzu. Ni njia ya kuangazia kwa kitu ambacho hakupewa. Tunamuomba Allaah usalama. Haijuzu. Allaah tayari amekuumbia kope. Hazitoshi? Tosheka na kope ambazo Allaah amekuumbia. Ni nzuri na bora zaidi kwako.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg–14041434.mp3
  • Imechapishwa: 03/04/2023