Swali: Mwezi wa Dhul-Hijjah una fadhila zepi ?
Jibu: Mwezi wa Dhul-Hijjah dhahiri ni kwamba makusudio ni yale masiku kumi. Mtu anapaswa katika masiku haya kumi akithirishe matendo mema. Kama vile swalah, swadaqah na swawm pia. Afunge yale masiku tisa. Vilevile akithirishe matendo mengine yote. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hakuna masiku ambayo matendo mema yanapendwa zaidi na Allaah ndani yake kama masiku haya kumi.” Wakasema: “Hata Jihaad katika njia ya Allaah?” Akajibu: “Hata Jihaad katika njia ya Allaah. Isipokuwa mtu ambaye ametoka na nafsi yake na mali yake na asirudi na chochote katika hayo.”
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Liqaa’ ash-Shahriy (42) http://binothaimeen.net/content/949
Swali: Mwezi wa Dhul-Hijjah una fadhila zepi ?
Jibu: Mwezi wa Dhul-Hijjah dhahiri ni kwamba makusudio ni yale masiku kumi. Mtu anapaswa katika masiku haya kumi akithirishe matendo mema. Kama vile swalah, swadaqah na swawm pia. Afunge yale masiku tisa. Vilevile akithirishe matendo mengine yote. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hakuna masiku ambayo matendo mema yanapendwa zaidi na Allaah ndani yake kama masiku haya kumi.” Wakasema: “Hata Jihaad katika njia ya Allaah?” Akajibu: “Hata Jihaad katika njia ya Allaah. Isipokuwa mtu ambaye ametoka na nafsi yake na mali yake na asirudi na chochote katika hayo.”
Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Liqaa’ ash-Shahriy (42) http://binothaimeen.net/content/949
https://firqatunnajia.com/fadhilah-za-siku-kumi-za-dhul-hijjah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)