Swali: Je, kumethibiti dalili ya kwamba du´aa ni yenye kupokelewa wakati mvua inaponyesha?
Jibu: Ndio. Miongoni mwa sehemu ambazo du´aa ni yenye kutarajiwa kupokelewa ni wakati mvua inaponyesha.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (48) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-5-26.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket