Du´aa ni yenye kupokelewa wakati wa mvua

Swali: Je, kumethibiti dalili ya kwamba du´aa ni yenye kupokelewa wakati mvua inaponyesha?

Jibu: Ndio. Miongoni mwa sehemu ambazo du´aa ni yenye kutarajiwa kupokelewa ni wakati mvua inaponyesha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (48) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-5-26.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020