Swali: Vipi kuomba du´aa baada ya swalah ya faradhi?
Jibu: Ni sawa akiomba du´aa baina yake yeye na nafsi yake. Lakini afanye hivo baada ya kufanya Dhikr.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23032/حكم-الدعاء-بعد-الفريضة
- Imechapishwa: 20/10/2023