Swali: Wakati wa kutumia Ruqyah ya Qur-aan na du´aa za Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ikiwa ni pamoja na zaituni na maji ya zamzam, tuamini kuwa dawa iko kwenye maneno ya Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) au ni sababu tu na dawa inatoka kwa Allaah?
Jibu: Hili halina shaka. Ruqyah ni sababu. Dawa inatoka kwa Allaah (´Azza wa Jall). Haijuzu kutegemea Ruqyah. Mtegemewaji ni Allaah. Hili linahusu sababu zote. Haijuzu kuzitegemea. Mtegemewaji ni Allaah (Jalla wa ´Alaa).
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (73) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-10-21.mp3
- Imechapishwa: 22/08/2020
Swali: Wakati wa kutumia Ruqyah ya Qur-aan na du´aa za Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ikiwa ni pamoja na zaituni na maji ya zamzam, tuamini kuwa dawa iko kwenye maneno ya Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) au ni sababu tu na dawa inatoka kwa Allaah?
Jibu: Hili halina shaka. Ruqyah ni sababu. Dawa inatoka kwa Allaah (´Azza wa Jall). Haijuzu kutegemea Ruqyah. Mtegemewaji ni Allaah. Hili linahusu sababu zote. Haijuzu kuzitegemea. Mtegemewaji ni Allaah (Jalla wa ´Alaa).
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (73) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-10-21.mp3
Imechapishwa: 22/08/2020
https://firqatunnajia.com/dawa-inatoka-kwa-allaah-na-si-kwenye-kisomo/