Swali: Mtu akifanya chuku ilihali amefunga akamilishe swawm yake au afungue?

Jibu: Swawm imeharibika kwa kuumikwa. Lakini anatakiwa kujizuia siku iliyobaki na ailipe siku hiyo. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Amefungua mwenye kufanya chuku na mwenye kufanywa.”

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg–14041434.mp3
  • Imechapishwa: 10/04/2023