Baadhi ya wanawake hawaoni mtiririko mweupe

Swali: Maneno yake ´Aaishah aliposema:

“Msiharakishe mpaka mtakapoona mtiririko mweupe… “

Jibu: Hapana, sio lazima. Mara nyingi kunakuwepo mtiririko mweupe. Vinginevyo inatosha ikiwa mwanamke atasafika ingawa hakuona mtiririko mweupe. Baadhi ya wanawake hawaoni mtiririko mweupe… Inatosha akiona kuwa amesafika. Akiweka ndani pamba na kadhalika na asione kitu basi himdi zote anastahiki Allaah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23549/هل-القصة-البيضاء-علامة-للطهر-من-الحيض
  • Imechapishwa: 10/02/2024